MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,043
CHEMUSHA MBONGO!!!
Hivi ungepewa Urais kwa 30 days ungefanya nini???
Asante sana, ntaifanya leo hiiIle ya jana ni smooth
Hii ni ice cream (home made)
Hii niliblend betroot, frozen banana, kisha nikaweka whipping cream (Maziwa matamu) na vanila kiduchuu ili inukie ikakaa kwenye friza kwa 1 hour basi
Hahahaa mwana sheria wetu umejibu vyema, ungempa majibu ya kizushi tu kwani swali nalo lakizushi
Mosi, hakuna raisi wa siku thelathini.
Pili, huo utakuwa ni uvunjivu na matukano makubwa kabisa dhidi ya katiba ya Jamhuri ya muungano wa watu wa Tanzania.
Tatu, hiyo ityakuwa ni fedheha na matusi makubwa dhidi ya watu wa Tanganyika na Zanzibar.
Nne, kiuhalisia hakuna mtu yoyote ndani ya Jamhuri mwenye uwezo wa kupendekeza, kupigia kura, kuapisha na kukubali kuongozwa na huyo raisi wa siku thelethini.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ningeleta wakongo mastaaz waburudishe ikulu..cc warembo wote wavunje viuno kutwa
Aisee mi ningeanza na kumtoa babu seya anipe burudani hii siku ya leoCHEMUSHA MBONGO!!!
Hivi ungepewa Urais kwa 30 days ungefanya nini???
[emoji106] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee mi ningeanza na kumtoa babu seya anipe burudani hii siku ya leo
Baba na mwana wanaimba na kuchezaaaa!!! Wimbo mutamuuu.Aisee mi ningeanza na kumtoa babu seya anipe burudani hii siku ya leo
Umemjibu sawia kabisa, mi nlijua anahitaji jibu la kizushiMosi, hakuna raisi wa siku thelathini.
Pili, huo utakuwa ni uvunjivu na matukano makubwa kabisa dhidi ya katiba ya Jamhuri ya muungano wa watu wa Tanzania.
Tatu, hiyo ityakuwa ni fedheha na matusi makubwa dhidi ya watu wa Tanganyika na Zanzibar.
Nne, kiuhalisia hakuna mtu yoyote ndani ya Jamhuri mwenye uwezo wa kupendekeza, kupigia kura, kuapisha na kukubali kuongozwa na huyo raisi wa siku thelethini.
Kumbe mtaaluma hivi[emoji112] [emoji112] [emoji112]Ile ya jana ni smooth
Hii ni ice cream (home made)
Hii niliblend betroot, frozen banana, kisha nikaweka whipping cream (Maziwa matamu) na vanila kiduchuu ili inukie ikakaa kwenye friza kwa 1 hour basi
Hahaa hapana chezea vya wakubwa aiseeBaba na mwana wanaimba na kuchezaaaa!!! Wimbo mutamuuu.
Hakya nani usile na wakubwa wataku....fasta, anajutia kuchungulia vyupi vya wadosi
Kweli mkuu japo wanapenda kutuganda aiseee, mie sitaki mazoea nao kabsaaHahaa hapana chezea vya wakubwa aisee
Ku-panic!!! [emoji15] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mbona unapaniki, nakuelea baba lao[emoji120] [emoji120] [emoji120] sana
PopozJimena mzoefu, kamfundisha na Szczesny sasa [emoji2][emoji2][emoji2]
Atakesha kwakweliAlizoea kuvuka mifereji long time...sasa ataumia na hatumfungi bandeji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Umeonaeeh!!!Hahahaa mwana sheria wetu umejibu vyema, ungempa majibu ya kizushi tu kwani swali nalo lakizushi
Werrason hawa viumbe wamepewa mvuto wa pekee, huwezi kwepa, wala hakuna kidume asiyevutiwa navyo, na wakikukamata vizuri utatoa vyote, na utaambulia kuingia na nakutoka(swing swing pekee)Eti ulisomea ili uone vifichwavyo[emoji23] [emoji23] [emoji443]
Umespesholaiz kwa wamama[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ningeiba hela nyingi sanaaaaaaaaaaa yani sijui kama mtaelewa ila nikisema nyingi namaanisha, kisha nikatokomea nazo huko ughaibuniCHEMUSHA MBONGO!!!
Hivi ungepewa Urais kwa 30 days ungefanya nini???