Mandezi mawazo yao yanatokana na kunywa ulezi na wanapatikana kwa uwingi kwenye mapori ya Mbezi[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka umenikumbusha mbali hapo kwenye undezi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Fafanua vizuri jimena, mkia ni msamiati mpana ati!
Asanteni sanaNamkubali sana Jimena, yuko vizuri kwa kweli
Uko sahihi, ukimkosa jimena na mzee wa mafotooo aka toz, jukwaa lasinziaHaha ni ngumu sana kumnyima likes, Jimena ni kiungo muhimu sana humu anatuconnect wengi... Jimena kama maji hata usipomuoga utamywa tu wallah
Niambie uko pande gan nikupe zile za jirani na weweNipunguzie hiyo mialiko.
Itabidi sasa itokee.Haitakaa itokeee
Asanteni sanaNamkubali sana Jimena, yuko vizuri kwa kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nishadowea pilau sasa anayejiamini anichokoze
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
........
Tunawaburuza ze wak'ngwez [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Fanya kupita hapa kwanza....
Na uhakikishe huwi kama malawi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Notable Members | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Asante sana,Niko poa, heri ya sikukuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mandezi mawazo yao yanatokana na kunywa ulezi na wanapatikana kwa uwingi kwenye mapori ya Mbezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
................
Asanteni sana
Mi pia nawakubali wote humu....
Kila mtu ni uniq
Mzee wa fujo wewe[emoji12] [emoji12] [emoji12]Tofautisha kuongoza likes na kuwa maarufu mfano mm ht nisipokuwepo Top 20 lkn umaarufu wangu upo juu kuwazidi watakaokuwepo kwenye hiyo Top 20
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
.............
WalaUnapenda kuchungulia taarab za watueeh???[emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Acheni Undezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Wallahi inabidi tusitishe misaada ya like mana uko juu dadake.Poa kabisa kaka ake.....
Kukumiss tu
Nimedoea kikauzu mpaka wamejuta nimekomba nyama bila soni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sipati picha tumbo lilivyosukuma kanzu ya kulia mnuso
Yah Bitoz, we mwenyewe na wengine wote kila mmoja kwa nafasi yakeUko sahihi, ukimkosa jimena na mzee wa mafotooo aka toz, jukwaa lasinzia
Uko sahihi, kila mtu humu wa kipekee kabisaAsanteni sana
Mi pia nawakubali wote humu....
Kila mtu ni uniq
Upstair uko vizuri kwa kweli, na unanyota flan sema tu siwezi kuiweka wazi, ubaki kama ulivyo una mvuto wa aina yake, umekua nguzo muhim hapa kwa kweli wastahili [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]Asante sana
Maana umenisifia sana jamani...
Mi ni wa kawaida sana tu