Makapuku Forum

Yes
Mimi ni mgumu kuongea na mgumu kusahau
Na ni rahisi ku end mambo nikiona mtu hanielewi au ni rahis kufuata yeye anacho taka zaid
Ila ni rahisi pia ku mu aviod yeye kama nikiona ina shndkana

I think ndo nilivo tuu
Nazijua hasira za mtoto wa mkwawa, kwenu kukasirika na kujinyonga ni secunde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…