Ukiamua unabadilika tu...Hahaha
Tuna tofautiana kaka
Mi ndo nature yangu
But am a very understanding person
Mtu kama haja nisoma simlaum
YesOk safi sana, ndo uzuri wa kujielewa huo, unajicontrol na kucontrol mazingira yanayokuzunguka usikwaruzane na watu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Aaah
Akalale sasa atuache wakubwa tuongee mweer!!?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji125] [emoji100]
Okey, i will do and see if t worksSio kujaribu fanya,
Anaejaribu toka lini akafanikiwa???
Halafu hiyo njia niliyokupa ni very simple
We unachotakiwa ni kurudia rudia tu ili kuuaminisha ubongo wako hayo usemayo na utajikuta umeshabadilika
Sasa shida iko hapo [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Okey, i will do and see if t works
Kama ndo hivyo ndugu nakushauri ufatishe ushauri wa JimenaYes
Mimi ni mgumu kuongea na mgumu kusahau
Na ni rahisi ku end mambo nikiona mtu hanielewi au ni rahis kufuata yeye anacho taka zaid
Ila ni rahisi pia ku mu aviod yeye kama nikiona ina shndkana
I think ndo nilivo tuu
Hahahaha[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Tuliwahi kukesha hapa watu wanne mimi, Briz Cobblepots na Mandelas mpaka asubuhi[emoji3]
Okey i will do itSasa shida iko hapo [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Amini na itawezekana
Ukisema hivyo ni kama bado unajaribu wakati tiba yenyewe ni ya kucheza na akili
HahahahaKama ndo hivyo ndugu nakushauri ufatishe ushauri wa Jimena
Hizo ni njia rahisi za kuacha tabia usiyopenda,Hii inasaidia nin? Kulitoa jakamoyo au?
Hayo majembe mawili yameadimika sana, i really miss 'em[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Tuliwahi kukesha hapa watu wanne mimi, Briz Cobblepots na Mandelas mpaka asubuhi[emoji3]
And you will never regretOkey i will do it
Daktari wa saikolojia, mpe doz kijanaSasa shida iko hapo [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Amini na itawezekana
Ukisema hivyo ni kama bado unajaribu wakati tiba yenyewe ni ya kucheza na akili
Mi ntalala anytimeMimi leo nahitaji kukesha hapaaa..
Nani yuko tayari kwenda ligi na mm ya kuchat hapa?
Yeah i believe that, i believe youAnd you will never regret
Mtafute ungedere labdaMimi leo nahitaji kukesha hapaaa..
Nani yuko tayari kwenda ligi na mm ya kuchat hapa?
Akiweza kufata steps hizo basi kila kitu kitakuwa sawaDaktari wa saikolojia, mpe doz kijana
Aisee, kuna rafiki yangu huyo amefeli kabisa kuacha sigara ngoja ntampa hii tibaHizo ni njia rahisi za kuacha tabia usiyopenda,
Hata kama ni sigara, ulevi nk
Unachotakiwa ni kuiaminisha sub conscious mind yako kuwa hupendi kile kitu kisha utajikuta polepole unaacha na ndio maana zoezi hili unatakiwa urudie rudie