[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Kwa hisani ya [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 363359
Naomba niwatakie wote usiku mwema.... Na Eid Mubarak
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Nahitaji likes za utosha ili nimpite ngedere ungabure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo ndio nzuri...Duh usiwe unakufa nalo bana, mi huwa siwezi kumsema mtu ile hash lakin pia siwez kukaa nalo so lazima niseme tu hata kama ni kistaarabu
Ushanijaza mate mdomoni sasaKwa hisani ya [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 363359
Naomba niwatakie wote usiku mwema.... Na Eid Mubarak
Hahahahahaha leo anakesha maana kesho hafanyi kaziAaaah
[emoji28]
Story ndefu mam, tutakaa tuongee ebu ngoja briz alale
Hahaa... OooiAaaah
[emoji28]
Story ndefu mam, tutakaa tuongee ebu ngoja briz alale
HahahaDuh usiwe unakufa nalo bana, mi huwa siwezi kumsema mtu ile hash lakin pia siwez kukaa nalo so lazima niseme tu hata kama ni kistaarabu
Sasa kusahau hapo ndo shinda yanguHiyo ndio nzuri...
Mi nasema ila sana au kidogo inategemea mood....
Ila hata nisiposema muda ukipita nasamehe na kusahau
Kwani shs ngapi???
AaahHahahahahaha leo anakesha maana kesho hafanyi kazi
Kesho ndo ntakua bize balaa, bado nipo coz naenjoy kampan yenuHahahahahaha leo anakesha maana kesho hafanyi kazi
Duu.... Anza kuacha hiyo tabia sasa maana umeshajua kuwa sio nzuriHahaha
Uwa nashndwa kwa kweli na hata watu wangu wa jiran wana nijua
Hata mtu akifanya kitu inabid anakuja sema
"Hivi pale nlikukera eeh!!?"
Inabidi kumeza tu maana hamna namna nyingineUshanijaza mate mdomoni sasa
AhsanteDuu.... Anza kuacha hiyo tabia sasa maana umeshajua kuwa sio nzuri
Chukua kalamu na karatasi kisha andika hivi
Mfano:
Wewe Szczesny unasamehe kila mtu aliekukosea, huweki kinyongo moyoni
Wala huna kinyongo na mtu yoyote, unasamehe na kusahau kabisa na unaishi kwa furaha
Wala huweki kinyongo,
Kisha uwe unasema hayo maneno kila unapopata muda.... Ikipita mwezi kama utafanya hayo kwa kumaanisha basi utakuja kutoa ushuhuda hapa hapa
Unaweza pia kurekodi kisha uwe unasikiliza
Iko sawa sana hii... Ila mi nimeshaanza kusinziaKesho ndo ntakua bize balaa, bado nipo coz naenjoy kampan yenu
Ok safi sana, ndo uzuri wa kujielewa huo, unajicontrol na kucontrol mazingira yanayokuzunguka usikwaruzane na watuHahaha
Tuna tofautiana kaka
Mi ndo nature yangu
But am a very understanding person
Mtu kama haja nisoma simlaum
Sio kujaribu fanya,Ahsante
Ntajaribu ku work against how i am
Hii inasaidia nin? Kulitoa jakamoyo au?Duu.... Anza kuacha hiyo tabia sasa maana umeshajua kuwa sio nzuri
Chukua kalamu na karatasi kisha andika hivi
Mfano:
Wewe Szczesny unasamehe kila mtu aliekukosea, huweki kinyongo moyoni
Wala huna kinyongo na mtu yoyote, unasamehe na kusahau kabisa na unaishi kwa furaha
Wala huweki kinyongo,
Kisha uwe unasema hayo maneno kila unapopata muda.... Ikipita mwezi kama utafanya hayo kwa kumaanisha basi utakuja kutoa ushuhuda hapa hapa
Unaweza pia kurekodi kisha uwe unasikiliza
Inapunguza upepoHii inasaidia nin? Kulitoa jakamoyo au?
Hahaha jaribu utuletee mrejeshoInapunguza upepo
Sijajua kama inaondoa tube kabsaa