Leo katika Historia:
1976 - Nuno Gomes anazaliwa. Alikuwa ni mshambuliaji wa Ureno.
Leo katika Historia.
2004 - Uchaguzi wa kwanza wa Rais nchini Indonesia wafanyika.
Kama ilivyo desturi yetuHalafu idadi inatofautiana, wengine29 mara 30
Vuta mwenyeweMpaka hapo sina la ziada tukutane kesho hapahapa jukwaani kwetu kwa Udhamini mnono wa Shisha.
Taaluma ya habari Tanzania ina tatizo kubwa
MABASI NDUGU YACHINJA 29
Hivi wamekosa maneno ya kuandika? Wamefurahishwa na hilo janga?, Magazeti ya Bongo bhana
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
..........
Morning BrizGmorning fellaz
Asante kwa magazeti barikiwa sana
Pamoja sanaAsante kwa magazeti, mie huo udhamini tu..
Iko siku ntafika mahala hapo nikafurahishe macho......Panaitwa bwelalis city
Kumbe BBC sio kongwe kama nilivyokuwa nafikiriaLeo katika Historia:
1954 - Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC larusha matangazo yake ya kwanza ya taarifa ya habari.
Morning..... Umerudi mjini au bado uko chaka??Morning all kapuku family
Asanteeeeeee[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Leo katika Historia:
1946 - Vazi la Bikini laingia rasmi sokoni kwa mara ya kwanza mara baada ya kuzinduliwa katika maonyesho ya fashion huko Paris, Ufaransa.
hahaha...Vuta mwenyewe
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
..............
Black katika ubora wakeLeo katika Historia:
1975 - Arthur Ashe anakuwa mwanamichezo wa kwanza mweusi kushinda taji la michuano ya Tennis huko Wimbledon.
asante sana!! Nilikuwa navaa products zake ila sikujua mwenyewe ni wa wapi
[emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Ha ha ha ha ha shishaaMpaka hapo sina la ziada tukutane kesho hapahapa jukwaani kwetu kwa Udhamini mnono wa Shisha.
Bendera mbayaaa
Bado sijarudi, Alhamis nitakuwa joto cityMorning..... Umerudi mjini au bado uko chaka??