Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Leo katika Historia:
1954 - Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC larusha matangazo yake ya kwanza ya taarifa ya habari.
Leo katika Historia:
1946 - Vazi la Bikini laingia rasmi sokoni kwa mara ya kwanza mara baada ya kuzinduliwa katika maonyesho ya fashion huko Paris, Ufaransa.
Leo katika Historia:
1962 - Algeria yapata Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
Leo katika Historia:
1975 - Cape Verde yapata Uhuru wake toka kwa Ureno.
Leo katika Historia:
1975 - Arthur Ashe anakuwa mwanamichezo wa kwanza mweusi kushinda taji la michuano ya Tennis huko Wimbledon.
Leo katika Historia:
1966 - Gianfranco Zola mchezaji wa mpira kutoka Italy anazaliwa.
Leo katika Historia:
1975 - Hernan Crespo mchezaji wa zamani wa Argentina anazaliwa.