Makapuku Forum

Afu naskia hakuna gharama sana kwa mtanzania, ntatafuta info zaid ikiwezekana mwakani na mi nipande
Kwa urahisi una join safari tu, ukodishe vifaa vya baridi na kupandia mlima, ubebe vyakula, gharama haizidi laki 2
 
Mi pia nakubali gari kwa safari kama hizo
Jimena wale wa chopa wakitua mbugani wanaanza kutembelea gari, isipokuwa wanapunguza mda wa kuwa barabarani, kwani kutoka arusha hadi serengeti ni mwendo wa siku nzima, arusha tarangire, saa 3, arusha manyara saa 2/3, arusha ngorongoro saa 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…