Dah... hii JF yenu?? Mbona mwenyewe kaweka wazi kabisa kuwa ni The home of GTs bana 🙂Sure!! Sisi kilio chetu kikuu ni hiki, kama tumeamua JF iwe ni social network ya watu wote basi each member should be treated with dignity and equality. Tabia ya mtu akichangia kitu unakimbilia kwenye profile yake kuangalia ana muda gani jf na ana likes ngapi pamoja na followers afu unarudi kumpa maneno ya kejeri ni upuuzi inaobidi ufe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jonax umesem kwlii hapaa mm kila kochii nshakaa naonaa sielew yan....swaum hii yaa leooo aaaaah..hapanaa kwaa kwlii...
Mi niko fresh kabisa nduguWazima sana sijui wewe
Bravo, bravoo, bravooo KF
1/2 Million views hatujatimiza ht miezi mi3
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
...............
Imebaki siku 1 au 2 mambo yakamilike so vumilia tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] jonax umesem kwlii hapaa mm kila kochii nshakaa naonaa sielew yan....swaum hii yaa leooo aaaaah..hapanaa kwaa kwlii...
Ras simbaView attachment 362940
Kwani lazima kiinglish jamani???
Hapo ndo tumeona umuhimu wakeRas simba
Hii lugha angeileta hapa jf tena jukwaa la polifix angekiona cha motoView attachment 362940
Kwani lazima kiinglish jamani???
HakikaHapo ndo tumeona umuhimu wake
Ras simba
Angetamani apigwe ban ya mileleHii lugha angeileta hapa jf tena jukwaa la polifix angekiona cha moto
Habari za muda huu mkuuHakika
[emoji15] [emoji15]
Safi tu. Za kwakoHabari za muda huu mkuu
[emoji15] [emoji15]