Sawa kapuku
"RONALDO AIPELEKA URENO ROBO FAINALI"
Magazeti ya Bongo upuuzi mwingi hivi wanadikiri wasomaji wao ni maandazi na tunaishi vijijini.....Yanaboa
Ujinga mtupu wkt ni NUSU FINAL na mechi yenyewe alifulia
Wapunguze kutulisha matikiti pori ht km yanauzwa JERO
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
.,..............
Samtaimu Polifix is dangerousAlikuwa ni katibu Mkuu wa ccm, aliropoka kuwa CCM imepoteza dira.
Aliitwa na kamati ya kuu ya chama Kizota,Dodoma kwenda kujieleza. Alipomaliza kujieleza akadondoka akafa.
Ikawa ndio mwisho wake.
Ushaelewa mwanafunzi wanguMfahamu Camilo Cienfuegos wa Cuba!! Ingia hapa kidogo
Ndioo Mwalimuuuu...Ushaelewa mwanafunzi wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Ndo faida ya KF .......Ungeenda kuuliza Members Only ungejibiwa kwa dharau na kejeliNdioo Mwalimuuuu...
Hahaha ni kweli kabisa...Napenda sana kujua vitu vingi hasa vipya japo kuna muda huwezi kujua vyote. KF idumu.Ndo faida ya KF .......Ungeenda kuuliza Members Only ungejibiwa kwa dharau na kejeli
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
...........
Thus y twajiita family, hata mimi cjuagi kuhamisha uzi bali huwa nahamisha post pekee ntajaribu hii bitozNdo faida ya KF .......Ungeenda kuuliza Members Only ungejibiwa kwa dharau na kejeli
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
...........
Fuata maelekezo fanya zoezi kwa hii postThus y twajiita family, hata mimi cjuagi kuhamisha uzi bali huwa nahamisha post pekee ntajaribu hii bitoz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Andunje mwenye akili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
JambiloAhaaa
Asante kwa hii shule mwenyewe nlikua zero brain hapoUnagusa post husika zen COPY URL halafu unaenda KUPASTE sehemu unayotaka
.........
Ndege wafananao huruka pamoja [emoji4] [emoji4]Lizzie na th name mnapotea pamoja na mnarudi pamoja duu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sema Quigley (kigli)Jambilo
Kigli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sema Quigley (kigli)
KweliNdege wafananao huruka pamoja [emoji4] [emoji4]
Andika Quigley, tamka kigliKigli