Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Hapa sio rome mkuu ni mji mkongwe wa Machu Pachu huko peruKibaba hapa siyo rome!!?
Poa kakaHapa sio rome mkuu ni mji mkongwe wa Machu Pachu huko peru
Poa sana
Wakuu makapuku pamoja na wageni wanaotukubali sana, ambao wanapita humu kimyakimya wakiogopa kutia neno.
Huu ndio wasaa wa kupitia mambo machache yenye sifa za kipekee kabisa:
JE WAJUA?
(1) Maajabu 7 ya dunia mpya (7 wonders of new world)
Maajabu haya hayajapewa namba au sifa ya kuzidiana, yamewekwa katika mizani iliyo sawa.
a) mnara wa Yesu mkombozi (Jesus redeemer).Ulikamilika kujengwa oktoba 12 mwaka 1931 na una urefu wa mita 30. Huu unapatikana Rio de Jeneiro BrazilView attachment 362294
(2) Maajabu mengine ni ukuta mkubwa wa chinaView attachment 362296
(3) mji mkongwe uliojengwa karne ya 15 uitwao Machu pachu huko PeruView attachment 362300
4) Jumba la kale..Petra Jordan
Picha na maeleza yatafuata
![]()
5) Mapiramidi ya Chichan Itza..MexicoView attachment 362302
6)Roman colosseum hukoRome Italy![]()
Huo ndio mtiririko wa maajabu 7 mapya ya dunia7) Taj mahal..Agra India
Bitoz fanya yako net yazingua
![]()
OKMkuu siyo kila nilipo naweza kufanya hiyo kaz
Alaf leo top ten haipo
Umekoleza utam[emoji120]
Wazungu wanajipendelea imekuaje Afrika hatumo ?Umekoleza utam[emoji120]
Wakiri kimoyomoyo ndio maana wanatiririka kuja kutaliiWazungu wanajipendelea imekuaje Afrika hatumo ?
.........
Vile vipiramidi ni sawa na vichuguu tu kwa zile za MisriWakiri kimoyomoyo ndio maana wanatiririka kuja kutalii
Huyu jamaa alikuwa na nidhamu ndani na nje ya uwanja ndio maana alilast.goodbye Ryan Giggs #GGMU #ManUtd #29Years
![]()
[emoji12]Mkuu siyo kila nilipo naweza kufanya hiyo kaz
Alaf leo top ten haipo
Mapiramid ya misri yako kwenye maajabu 7 ya kale(ancient world) kama sijakoseaVile vipiramidi ni sawa na vichuguu tu kwa zile za Misri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
Hahaha kuwa mpoleeeJambilo mbona linatokea jina jingine kwenye post zako? ....au nawe ni mzee ya multiple[emoji12] [emoji125] [emoji125]