Buni chako cha kuleta sio kuigaLeo katka historia
1954 the return of mkwawa head from Australia..
ahsante kwa picha
Morning mkuu, kwema huko!Morning kapukuz
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Leo katika Historia:
1881 - Simu ya Kwanza ya kimataifa yapigwa toka Canada kwenda Marekani.
Jamaa waliwahi kupata uhuru kabla yetu
We ulishawekaa hchooo....Buni chako cha kuleta sio kuiga
...............
F+Bitoz unatshaa kw historia leoo o-level history ulipata ngapii aise
Kumbe wakongweLeo katika Historia;
1960 - Somalia yajipatia Uhuru wake.
Ahsante hiki ni kipindi kabla ya mambo ya Disc man na baadae Ipod
Umekoleza utamu[emoji106]
Jamaa alikuwa hodari sana kwa goli za vichwa
Sana, mambo ya kuzungusha nambaEnzi za landline
Mviziaji hatari
Leo katika Historia;
1960 - Somalia yajipatia Uhuru wake.
Leo Katika Historia:
1962 - Ni siku ya Uhuru wa Burundi.
Kimsingi hawa ni kama nduguLeo katika Historia:
1962 - Leo pia ni siku ya Uhuru wa Rwanda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]F+
.....
Tanzania mwaka 1990[emoji85] [emoji85]Leo katika Historia:
1966 - Matangazo ya kwanza ya rangi katika Televisheni yarushwa rasmi hukoToronto Canada.
Nkwame na Nyerere wanafanana kwa mbaali
Tetesi zinasema aliuwawa na Royal family
Nazikumbuka hiziLeo katika Historia:
1979 - Kampuni ya SONY ya Japan yazindua Walkman ya kwanza Duniani.
Walkman ni radio ndogo za mkononi unazoweka kanda na kusikiliza mziki.
Mahakama inajua kudili na viongozi wa Africa tu.