😀😀NUKUU NO #1. Usimamizi unamaanisha kufanya vitu kwa namna sahihi ;Uongozi ni unamaanisha kufanya vitu sahihi. Maneno haya yalisemwa na mtaalamu wa masuala ya menejimenti Ferdinand Peter Drucker, mmarekani mwenye asili ya Australia ambaye maandishi yake yamechangia kwa kiasi kikubwa dhana ya usimamizi wa biashara za kisava. Alizaliwa Nov 19,1909 na kufariki Dunia Nov, 11,2005
ulaya haipo mkuu?Only In Africa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.... .
Ngoja mussolin aje[emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]huyu jamaa ,udevu kama beberu,hana jipya
Kaazi kweli kweliHuwezi mimi Mkatoliki halafu unapinga ile sio picha ya Yesu
Hapo sasa huna imani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
siyo osama??Ngoja mussolin aje[emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mambo yetu Waafrika[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
likitokea lakutokea,ni shetanMambo yetu Waafrika
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
Habari za Kinshasa, nasikia ulikuwa umeenda kusherehekea siku ya uhuruHello peoples peace n love
Imethibitishwa muda huu kama dk 30 zilizopita
Done deal
...........