Number 7
Awa nao wana polisi na wana vifaa vya kawaida kabisa vya ki ulinzi wao hutegemea patrol tuu napo kwa nyakati chache
Wanategemea hawata vamiwa siku yyte wala na mtu yeyote
Makapuku mpo vyema??
Poleni wakimataifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wa kimataifaaaaaaaMpira huu basi tu.
Young Africans daima
Nadhani muda huu atakuwa mpole Sana!Ananiuz jeri muro anauhakika na kuongea kama msemaji wa madrid na barcelona wakat timu yenyewe daaaa
Unakataje tamaa mapema hivyo??Kwa kweli yanga leo kaharbu day
Ila nsha kubali hatufiki mbali hili kombe
Tupo na tutaendelea kuwepo..Wakimataifa mpoo?
Naona tangu uote meno siku hizi unaongeaSiwezi kuwacheka sana kwani ule ndio uwezo wenu.
Ahsanteni kwa kuja.
Weka Top 10 achana na wazushi sasaHAhahahaa
Uwezo ndo umeishia pale
Ndio kwasababu sisi ni wa Kimataifa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mwakani pia tuna cheza
Vizuri snTupo na tutaendelea kuwepo
Panafaa kuishiNumber 10, Marshall Islands
Toka visiwa hivi vipate serikali yake havijawahi kuwa na jeshi la ulinzi
Kuna polisi wachache tuu ambao hufanya doria na boti
Masuala ya ulinzi walisain mkataba na marekan ndo anaye walinda kama ikitokea shda yoyote
ha ha ha...wakimataifaaaaaNaona tangu uote meno siku hizi unaongea
Mwe yani police 30 nchi nzima[emoji134] [emoji134] [emoji134]Number 9, Palau
Toka kuanzishwa kwake haija wahi kuwa na jeshi, wana takriban polis 30, wenye vifaa vyepes vyepes vya kuhakikisha watu wana ishi kwa amani tuu
Nime kwisha edit mkuu nashukuruHawa hujawataja mkuu watu gani hawa