Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Daaaah
Kwa kweli skujua kama watu wata iamkia hvoo
Unaniona m wenzio .....nimevaa jezi nimetulia
.........
Daaaah
Kwa kweli skujua kama watu wata iamkia hvoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Unaniona m wenzio .....nimevaa jezi nimetulia
.........
Cheap is expensive[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaah kwa kweli bure ni ghali pia
Yaan hulipi hela ila lala huko huko
Na kweliCheap is expensive
Tupo kakake, mkuu huko sio kupotea bhana!Wakuu wangu mpo poa huku?
Yo very rightCheap is expensive
Baba Mtumish..Long tym long tym upo mkuu?Tupo kakake, mkuu huko sio kupotea bhana!
Nipo ndg yatu umenitupa hasa...huku family wamekumisi piaBaba Mtumish..Long tym long tym upo mkuu?
Mkuu kwanza nashukuru kama tunapata uzima shughuli zimebana mbaya sana ila yote heri kabisa..Nipo ndg yatu umenitupa hasa...huku family wamekumisi pia
HakikaYo very right
Ukichanganya na kibongo bongo sasaCheap is expensive
Tuko poa sana, sijui weweWakuu wangu mpo poa huku?
Sio kwa kumiminika huko uwanjani
Ndo inakuwa balaa zaidiUkichanganya na kibongo bongo sasa
Poa sana pia dada angu...tunakumiss sana..Tuko poa sana, sijui wewe
Mkuu unajua namiss bismark stone...si wajua kampani muhim?Mkuu kwanza nashukuru kama tunapata uzima shughuli zimebana mbaya sana ila yote heri kabisa..
Hebu wautendee haki umati huuSio kwa kumiminika huko uwanjani