Heri mi nipo safe, we na lizziebettie hamkwepi hiyo [emoji23] [emoji23] [emoji23]BREAKING NEWS.
Govt of Tanzania has passed a new law;
Beautiful girls & handsome boys have to pay beauty Tax of $30 per month[emoji19]..I know you are smilling coz you know you are safe...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi umewapigia wap hiyo picha?Usiwaite bhana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
.......
Mi niko poa kabisa mkuu, wikend wap?Njema sana.. vipi kwako?
Utatoa tu hahahahMi sitoi hiyo kodi
Nahisi Matozy tutawekewa naVAT
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
.......
Lazima tutoe aiseeHeri mi nipo safe, we na lizziebettie hamkwepi hiyo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Camera ya nyumaHivi umewapigia wap hiyo picha?
Buheri wa afya. .. Hofu kwakoU hali gani?
Hahah matambara ya deki
Nasema sitoi
........
Ni shida kubwaaaHahahahahaaa
Cc Jimena, lizziebettie, amaizing, Linamo na patience123
Ndo kukwepa kodiHahah matambara ya deki
Hapa kazi tuNdo kukwepa kodi
.......
Walikuja kutalii mabibo beach nin?Camera ya nyuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Nafurahi kuskia hivyo, mi niko vizuri nduguBuheri wa afya. .. Hofu kwako
Naona Mabibo Beach pamekuwa maarufu kuliko MasakiWalikuja kutalii mabibo beach nin?
Haha naona aisee, sasa ule uturi pale umekata??Naona Mabibo Beach pamekuwa maarufu kuliko Masaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
Kivuli tutapata wapiHaha naona aisee, sasa ule uturi pale umekata??
Nlikua namaanisha kile kipafyumu flan amaizing pale beach mana sijakatisha hapo kitambo naona kama usafi umeimarikaKivuli tutapata wapi
..........
Haaaahaaaa
Kapuku dadaz ktk picha ya pamoja
They luk so sexy
Namuona Jimena pale juu
Lizzy pembeni
Amaizing katikati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
YeahNlikua namaanisha kile kipafyumu flan amaizing pale beach mana sijakatisha hapo kitambo naona kama usafi umeimarika