Makapuku Forum

Mimi siasa za bongo baada ya kuona hazilipi now nko radhi hata nifuatilie siasa ya trinidad and tobago wenzetu wana jitambua kwl kwl
 
Yaan wewe ni Minorty man u fans ambao wana mpenda messi
Sawa sawa na myahudi kumpenda hitler
 
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
Maskin sweeden, timu ytu hyo


[emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276]
Birthday ya Messi mi ya nn

Hata kama ni mpenzi nambari moja wa Yanga usiiombee mabaya Simba!

Kwani Simba ikifa Yanga atapata wapi tena Upinzani wa kujaza watu Uwanjani kama Zamani?

( In Afande Sele's Voice )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…