Makapuku Forum

Number7, Kenneth Copeland Net Worth 2016 – $25 Million


Hii ndo jet yake binafsi ya matembez akiwa towan, lakin nmeshindwa kupata picha yeke mwenyewe

Yeye anaish kwenye ka kibanda kake kenye thaman ya dola $6.3 m
Alianza huduma miaka ya 1950 alipo kuwa msanii wa nyimbo xa injili na hutengeneza pesa kwa uimbaji pia , familia yake inamilik shares za TV maarufu ya kidini inayo itwa T BN
 
Endelea, safi
 
Number 6, Creflo Dollar Net Worth 2016 – $27 Million




Ana miliki ki rolls royce chake kama cha us dollar 2 million

Yeye ana jet yake pia


Ana jumba la abillion huko marekani, pua anachunguzwa kwa kuto kuwa muwazi na mapato yake huko mchini marekan

Mnamo mwaka jana aliingiza dollar 3.7 million kwa kuuza vitabu , vyake
 
Number 5, E. A .Adeboye Net Worth 2016 – $39 Million



Sehem ndogo ya washarika wake
Jet yake ya matembez town

Ni profesa wa mathematics chuo kikuu cha lagos ana aminiwa kuwa na matawi zaid ya 14,000 nchini nigeria pekee
Ana kadiriwa kuwa na magari ya kifahari takriban 16
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…