ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Hhahaha , sometimes walimu wasumbufu sana,yani anaweza kukuonea tu bila sababu.Hahaha nami kuna teacher alinizinguaga sana, ck moja paredi nkamtokea na Ile stiki ya ngoma, alikimbiaje! Kuanzia co Ile tukawa mabest
teh teh teh
Hawakosekani wanoko popoteHhahaha , sometimes walimu wasumbufu sana,yani anaweza kukuonea tu bila sababu.
Pole sana shemejiMmh tunakula jamani
Kweli kabisaHawakosekani wanoko popote
Asante shem!Pole sana shemeji
Hakuna kitu kama hiko!!Ngoja tusubiri hat-trick ya Cr7
Iko njema sana kaka, mzima wewe?Habari ya muda huu wakuu,natumai mko poa kabisa.
Uwe jasiri shemAsante shem!
Kwamba zikoje?Hata mimi nimezielewa nywele zake
Nzuri sana..... Habari ya wewe?Yes habar ya muda kdoogoo!!?
Kiafrika zaidiUmependeza leo
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sawa bitoz matelephone
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna kitu kama hiko!!
Sawa shemUwe jasiri shem
Sa hizi?????Nipo mkuuu
Nimetoka kusinzia hapa ila naona bado kitu cha usingizi kina niandama
Kamebamba sana.....[emoji2] [emoji2]
Asanteee japo kapicha ka watuu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji12] Kumbe na zenyewe zinafugwa?Nitajaribu kufuga!
Umeona eeh?? Leo amenoga sanaKiafrika zaidi
Sijawahi kuwa Barca. Kama ni mtabiri basi umechemsha.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Barcelona kwa chuki zenu..