Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Kifaru kilitoweka machoniTunga sentensi 5 kwa kutumia neno KIFARU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Tulitafuta kifaru bila mafanikio
Kifaru chapeleka watu kizimbani
Gazeti lenye habari ya kifaru kukiona
Sasa kifaru kitapatikana