Hii haina ukweli sana mkuu mfano mzuri ni yule jackline kwa mengi, we unadhani mengi ni handsome sana kwa kutoka nae out??Mkuu physical appearance ina matter kwa mwanamke anayejitambua, anayeikota ilimradi anapesa hajitambui kwani mkiwa auti au unampeleka kwa wazazi inakuwa tatizo
Unataka tukapate chakula wapi my sweetheart[emoji178] [emoji178] [emoji178][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndi ndi ndi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mlinganishe Sumbai na menHii haina ukweli sana mkuu mfano mzuri ni yule jackline kwa mengi, we unadhani mengi ni handsome sana kwa kutoka nae out??
Nakufamu vizuri mkuu namshangaa huyu jamaa anachezea sharubu za simba dumeMkuu nipo imara
Kule kwa janaUnataka tukapate chakula wapi my sweetheart[emoji178] [emoji178] [emoji178]
Kipendacho roho dawa mkuuHii haina ukweli sana mkuu mfano mzuri ni yule jackline kwa mengi, we unadhani mengi ni handsome sana kwa kutoka nae out??
Habari ya jioni cuzzo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndi ndi ndi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Uko tayari tuondoke mpenzi!!![emoji173]Kule kwa jana
Labda kuna anavyovikosa kwa Linamo [emoji4][emoji4]Jamaa anatamaa hajaridhika na linamo
Nzuri cuzooHabari ya jioni cuzzo?
Mengi mbona yuko poa sana tuuKipendacho roho dawa mkuu
Kuna watu wanamponda Mengi lakini wao wana sura ngumu kuliko Mawe,
Habari ya wewe lakini?
Mzima sana, week end yako inaishaje??Cuzoo mzima
Khaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mie nina kila kituLabda kuna anavyovikosa kwa Linamo [emoji4][emoji4]