Makapuku Forum

Kama ulivyosikia
Unajua wew ni mrembo sana, unatakiwa ujiamini mjini kuwa hakuna wa kukunyang'anya mine, unapotishiwa nyau halafu unasusa watakuonea mpenzi, hebu tukomae maadui waone haya[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Najiamini sema situmiagi mitumba napenda brand new[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mbona tulianza Nikon..na vizuri dear, utachekwa bhana, nisamehe sitaruhusu yatokee tena mpenzi[emoji173] [emoji173] [emoji173]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…