Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Tisha mbayaaaJoe hart.
Otamendi.
Kolarov.
Kompany.
Mangala
Zabaleta.
Ferndandinho.
Samir.
Toure.
Silva.
Kun arguero***
Tisha mbayaaaJoe hart.
Otamendi.
Kolarov.
Kompany.
Mangala
Zabaleta.
Ferndandinho.
Samir.
Toure.
Silva.
Kun arguero***
Mimi kinachonikera ni mpira kuonyeshwa usiku.Ha haaa![]()
![]()
pole sana
JoseKocha wako anaitwa nani?
Usingizi mtamu sanaMimi kinachonikera ni mpira kuonyeshwa usiku.
Napenda sana usingizi wangu....
Mi sio tu kuwa sipendi kuamka usiku, hata kuamka mapema pia sipendiMie sipendi kuamka usiku.
Nikila saivi mpaka asubuhi.
Hiyo tu ndiyo shida,siwezi kukaa kuangalia mpira saa nane usiku.Usingizi mtamu sana
Tatizo unakokaa masaa yanatofautiana na mpira unapochezewa

#TeamMexico
Cuzzo unapenda soccer kama mie11 alfajiri
Uniamshe Mkuu.11 alfajiri
Chicharito anajua sanaSAA 11:00,Alfajiri
Lazima nicheki
Chicharito v Sanchez
Kanisani nitatega
![]()
![]()
![]()
...........
mpyaMpya au aliyemaliza muda wake??
yeye anasema ni shabiki wa cityJose
Okay hapo sawayeye anasema ni shabiki wa city
na kwako piaUsiku mwema wakuu