Niaje kamanda?Naona mwendokasi
Cjaumiza wala cjala mdogo bali aliyejitambua tubasi kama ulizoea kuumiza vya watu nawe zamu yako
Muosha huoshwa
Cjaumiza wala cjala mdogo bali aliyejitambua tu
Kwema kabisa. NiambieNiaje kamanda?
Hahaha huwa unanivunja mbavu sana ukiweka hiyo lafudhi ya kikongo aiseeNipo kamiri kama kifaru ya Geshi.
Mkuu nina mtoto mkali hadi naogopabasi sawa nami nitakuwa Mkwe mwema
Fresh tu, mishe vp?Kwema kabisa. Niambie
asante na pamoja sana mkuu...wish to be that!!!!!!!!!!!!Oooh happy birthday mkuu 4G Mungu akupe maisha marefu yenye furaha tele
Babu katumia saikolojia ya juu kabisa kujibu, mi ningejikuta naenda kwenye baiolojia moja kwa mojaSiku moja binti mmoja aliamua kumwuliza babu
yake maswali ambayo yalikuwa yanamwumiza
sana kichwa.
Jambo hili lilikuwa linamkosesha
raha sana siku zote!
Mjukuu: Babu, mimi kuna jambo ambalo
linanisumbua sana kichwani!
Babu: Lipi hilo mjukuu wangu?
Mjukuu: Hivi
kwa nini
mwanaume
akiwa na wanawake wengi anasifiwa na
kuonekana shujaa sana kwenye jamii lakini
mwanamke akiwa na wanaume wengi
anaonekana hafai na malaya?
Babu: Mjukuu wangu kuna jambo moja hulijui,
funguo moja ikifungua makufuri mengi watu
wataipenda sana hiyo funguo na wataiita ‘master
key’ lakini kufuli likifunguliwa na kila ufunguo
hakuna atakayelitaka kufuli la hivyo!
Ujumbe bila picha haunogi picha please pmMkuu nina mtoto mkali hadi naogopa
Mkuu Mungu asikupe tu maisha marefu.. Akupe maisha marefu yanayoeleweka zaidiasante na pamoja sana mkuu...wish to be that!!!!!!!!!!!!
Ulisha mwonaUjumbe bila picha haunogi picha please pm
Bado cjamuona mkuuUlisha mwona
Mkuu maisha marefu kwakoasante na pamoja sana mkuu...wish to be that!!!!!!!!!!!!
OhoooBado cjamuona mkuu
Babu katika ubora wakeSiku moja binti mmoja aliamua kumwuliza babu
yake maswali ambayo yalikuwa yanamwumiza
sana kichwa.
Jambo hili lilikuwa linamkosesha
raha sana siku zote!
Mjukuu: Babu, mimi kuna jambo ambalo
linanisumbua sana kichwani!
Babu: Lipi hilo mjukuu wangu?
Mjukuu: Hivi
kwa nini
mwanaume
akiwa na wanawake wengi anasifiwa na
kuonekana shujaa sana kwenye jamii lakini
mwanamke akiwa na wanaume wengi
anaonekana hafai na malaya?
Babu: Mjukuu wangu kuna jambo moja hulijui,
funguo moja ikifungua makufuri mengi watu
wataipenda sana hiyo funguo na wataiita ‘master
key’ lakini kufuli likifunguliwa na kila ufunguo
hakuna atakayelitaka kufuli la hivyo!