Makapuku Forum

Mkuu umenikimbia kule.....kiukweli sticky nyingi hazina ubora na zipo kiupendeleo kwa wakongwe (SIZUNGUMZII KAPUKU FORUM KUWA STICKY)
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
............
Sijakimbia ila nadhani hukuwepo enzi hizo wakati watu wanalalamika kwamba Uzi zimekuwa nyingi

Then nakumbuka mods mpendwa alikuwa ASHA D wakafanya utaratibu ndio wakabuni Uzi kuwa stick.

Sikumbuki vigezo sahihi na stick nying ni nyuz za zamani

Ila ziliikuwa most loved threads, zilizokuwa haziish hamu
 
Huyo namjua tena kajiweka yy sticky
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…