Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Mes que un club![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aaaah ila vijana wa barca kama wacha**a!!! Mna penda hela
Ado kodi hamtak kulipa
Vijana wadogo ila wachawiLabda Netiboli Cup
![]()
![]()
![]()
........
Bingwa wa baiskeli ee!!?
Hicho ni kispania sio kisukuma![]()
![]()
![]()
Sielew kitu apo
Ameanza PayetNilijua lazma bench limuhusu
EeehAmeanza Payet
So far Ngolo Kante anaonyesha ufundi wake!!Eeeh
Na tuta wafunga tuu
Aaaah anakosaaa goloii hapa payet
Nasubiri hayo maajabu ya Nessi kuvaa shela wodini![]()
![]()
![]()
leo anaonyesha maajabu
Hata vijana wa Romania tuna jitahid broSo far Ngolo Kante anaonyesha ufundi wake!!
Hii co Ndondo Cup kijanaFrance lazima wachukue hili kombe..![]()