Makapuku Forum

Hahaha

Kwa kweli zta anzaje kuwa nzuri bila family hii!!?

Zta anzaje kuwa nzuri bila Jimena!!?
Hahahahahahahaha aisee

Kweli haziwezi kuwa nzuri,

Ila sasa naamini maisha yatarudi kuwa bora kabisa....
Karibu tena tulisongeshe


Swali la kizushi[emoji85] [emoji85]
Hivi ulikuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…