Mijicho ya nini?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
SalamaHabar za jioni
MamboMijicho ya nini?
Shwari... Mzima???Mambo
Ama kweli ubabe umepungua mtaani, hakuna muziki munene kwa magari kama ilivyozoeleka kwa vijana wa town, uchumi wa MTU mmoja mmoja umeleta utata
Magufuli shikamoo..
Bank nako hakuna foleni, tulizoea kuona foleni ndefu kuanzia kuweka hadi kuchukua pesa kwa ATM lakini hazipo tena, sasa ukienda bank unanyoosha kaunta,
Nasema tena shikamooo.
Ubabe wa matajiri na wenye Nazo nao umepungua, sasa tunaheshimiana.
Ninakuamkia..shikamooo.
Ofisi za umma Nazo zilikuwa na miungu watu, sasa no watumishi wa umma na sio miungu watu tena, baba Jesca shikamooo.
Umetumbua majipu bila ganzi na usaha umetudondokea mifukoni,
Mkuu shikamooo.
Wewe ni kiboko
Nasema shikamooo umeleta heshima MUJINI
Amtimue na jesca
Karibu futariyoungblood na jambilo nimefurahi kuwaona.....
Hivi Hamna wakunikaribisha futariiii????
Jimena shikamoo the boss mwenyewe
Salama kabisa brother.Habar za jioni
Poa brother pamoja sanayoungblood na jambilo nimefurahi kuwaona.....
Hivi Hamna wakunikaribisha futariiii????
Jimena shikamoo the boss mwenyewe
AksanteeeeKaribu futari
Okey mkuu.....Mimi napenda kupata kitwanga pale kama unatokea hostel za usagara...unanyoosha rod kuna miembe miembe huku pemben (upande Wa kambi) kuna kabaa Fulani tulivu saana...Poa brother pamoja sana
Njoo hapa chumbageni karibia na polisi.
Salama kabisa brother.
Habari ya jioni
Mekukumbuka sana!Salama
Nami nimekukumbuka Sana kwani ulikuwa wapi?Mekukumbuka sana!
Uage vizuri huko lakini[emoji23] [emoji23]Aksanteeee
Sasa Si bado hujarudi dar.....
Weekend nitakuja kufutur huko...
Ushafuturu??Poa brother pamoja sana
Njoo hapa chumbageni karibia na polisi.
Likua nimeenda kukutafutia sukari.. mana ya hapa wameificha [emoji3] [emoji3]Nami nimekukumbuka Sana kwani ulikuwa wapi?
Mkuu heshima yakoHabar za jioni