Safi sana mimi mwenyewe hapa naendeleza The Power of Positive Thinking cha Norman ni kizuri na nikiingia kwenye mgogoro wa namna yeyote na mwanamke huwa nakimbilia kitabu kimoja kinaitwa Men are from Mars, Women are from Venus cha John Gray nikikisoma hicho kitabu na nikirelate na kilichotokea kati yangu huyo Mama najikuta nacheka tu na kusamehe kabisa.