Leo ndo unatokezea wakati nilipost three days ago? Ningekufa ungemuuliza nani wakati huna simu, email au hata adress ya kwangu ndo maana wenzetu wajanja simu bila adress mhu hupati ila sisi kanjanja bora liende. Sijafa ila umechelewa niseme nite nite kwa leo 2nd of June 16 ili kama nikiondoka ujue nilikuaga le saa 19.28Makapuku bwana mmeshafika home? Sasa sikiliza, Sminoffff imekaaaaa na what let me think tangawizi nimekula na ndizi na nyama na mhu vichekesho plus Tennis hivyo sijambo mlale unono.
Tukeshe kusoma ili iweje?Uko sahihi wengi hawaguswi na elimu
Nakitwanga kistaarabu...mwisho 2Chonde chonde ulevi nomaaaaaa
Ya mwendo kasi
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Hips la mwendokasi hahahahnapita..[emoji124] [emoji124]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Una mashtaka ya kujibu[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Yapi hayo babe?Una mashtaka ya kujibu
Picha gani unapost hiyo baby?Yapi hayo babe?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bora umetahadharisha kabla hajagusa bia ya mwendo kasChonde chonde ulevi nomaaaaaa
I'm sorry honey!Picha gani unapost hiyo baby?
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Za jioni/usiku wakuu
Aaah[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Hivi kapuku ni kapuku kweli nilifiri namjibu mtu kumbe najijibu mimi. Miwani ina ukungu mhu am sori.Leo ndo unatokezea wakati nilipost three days ago? Ningekufa ungemuuliza nani wakati huna simu, email au hata adress ya kwangu ndo maana wenzetu wajanja simu bila adress mhu hupati ila sisi kanjanja bora liende. Sijafa ila umechelewa niseme nite nite kwa leo 2nd of June 16 ili kama nikiondoka ujue nilikuaga le saa 19.28