Naenda na wifi yakokwa kweli kapige vitwanga ila usizidishe sana
Unavyoingia angalia vizur wahudumu ili baadae ukianza kuwaona wazuri na wanavutia ujue kitwanga imechanganya
Taratibuuu anza kuondoka eneo hilo please [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hapo swadaktaNaenda na wifi yako
My one & only
Sina mbwwmbwe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
Hapo swadakta
Najua wifi yangu hataruhusu upate zaidi ya lite 5
Enjoy bro
Hapo sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Mkubwa kasema ni nonsense kulalamika kuwa walikosa chakula na pa kulala wakalala standHii nchi ni ya maajabu yaani mtu hana sifa za kuingia chuo kikuu anaruhusiwa
Then baadae wanawafukuza kama mbwa pasipo utaratibu !!!
Hii inapatikana tanzania tu
Mpaka Kitwanga aone wivuEnjoy bro
Mkubwa kasema ni nonsense kulalamika kuwa walikosa chakula na pa kulala wakalala stand
Wadungwe sindano tu hao
.....
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
.....
Mwendokasi sasa ndo superstar mpya mjini baada ya sukari,chura & Kitwanga[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli. Kila kitu mwendokasi.Mwendokasi sasa ndo superstar mpya mjini baada ya sukari,chura & Kitwanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli. Kila kitu mwendokasi.
Hahahahaaa hiyo too much sasa.Hadi kutongozana ni kwa mwendokasi ..kila kitu mnamalizana siku hiyohiyo
......
Udom je!Mwendokasi sasa ndo superstar mpya mjini baada ya sukari,chura & Kitwanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Sio kivileUdom je!
Uko sahihi wengi hawaguswi na elimuSio kivile
......
Chonde chonde ulevi nomaaaaaaDuh mishe zimekaba kichizi waungwana morning to night
Now naelekea viwanja kupiga Kitwanga hadi usiku mzito.....si mnajua life is too short
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
Ya mwendo kasi
Wadungwe sindano tu hao
.....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Hadi kutongozana ni kwa mwendokasi ..kila kitu mnamalizana siku hiyohiyo
......