Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 13, 2016 #4,541 sammoo said: we si ulishaaga Click to expand... Mi huwa ni wa mwisho kulala daily
sammoo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 701 Reaction score 1,604 Apr 13, 2016 #4,542 Jimena said: Mi huwa ni wa mwisho kulala daily Click to expand... na mimi huwa ni wa kwanza kuamka daily
Jimena said: Mi huwa ni wa mwisho kulala daily Click to expand... na mimi huwa ni wa kwanza kuamka daily
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 13, 2016 #4,543 sammoo said: na mimi huwa ni wa kwanza kuamka daily Click to expand... Hongera sana mana mi huwa wa mwisho kuamka
sammoo said: na mimi huwa ni wa kwanza kuamka daily Click to expand... Hongera sana mana mi huwa wa mwisho kuamka
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 13, 2016 #4,545 HULILO katika ubora wako, naona ndo unaingia sasa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 13, 2016 #4,546 Sasa HULILO ukimaliza kugawa like fanya uje upokee kijiti, Kwema lakini?
HULILO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 281 Reaction score 391 Apr 13, 2016 #4,547 Sasa hapa nawez kufanya kazi yangu viuri maana loh! Nyie makapuku wenzangu ni kiboko ya Jf heshima kwenu
Sasa hapa nawez kufanya kazi yangu viuri maana loh! Nyie makapuku wenzangu ni kiboko ya Jf heshima kwenu
HULILO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 281 Reaction score 391 Apr 13, 2016 #4,548 Jimena said: Sasa HULILO ukimaliza kugawa like fanya uje upokee kijiti, Kwema lakini? Click to expand... Niko salama mkuu mi mbio za mchana siwezi maan mafuta mengi mwilini huwa nashindwa sasa huu ndo muda mzuri we nipe nikimbize taratiiiiibu
Jimena said: Sasa HULILO ukimaliza kugawa like fanya uje upokee kijiti, Kwema lakini? Click to expand... Niko salama mkuu mi mbio za mchana siwezi maan mafuta mengi mwilini huwa nashindwa sasa huu ndo muda mzuri we nipe nikimbize taratiiiiibu
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 13, 2016 #4,549 HULILO said: Niko salama mkuu mi mbio za mchana siwezi maan mafuta mengi mwilini huwa nashindwa sasa huu ndo muda mzuri we nipe nikimbize taratiiiiibu Click to expand... Mkuu umepitwa na mengi, mpaka mwenzio nataka kununuliwa Actros we hujui, duuh kweli majukumu yanakaba
HULILO said: Niko salama mkuu mi mbio za mchana siwezi maan mafuta mengi mwilini huwa nashindwa sasa huu ndo muda mzuri we nipe nikimbize taratiiiiibu Click to expand... Mkuu umepitwa na mengi, mpaka mwenzio nataka kununuliwa Actros we hujui, duuh kweli majukumu yanakaba
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 13, 2016 #4,550 HULILO said: Sasa hapa nawez kufanya kazi yangu viuri maana loh! Nyie makapuku wenzangu ni kiboko ya Jf heshima kwenu Click to expand... Heshima na kwako pia, sasa hakikisha unapiga mzigo ili kesho tukiamka replies zisome 4k
HULILO said: Sasa hapa nawez kufanya kazi yangu viuri maana loh! Nyie makapuku wenzangu ni kiboko ya Jf heshima kwenu Click to expand... Heshima na kwako pia, sasa hakikisha unapiga mzigo ili kesho tukiamka replies zisome 4k
sizzya007 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2016 Posts 773 Reaction score 2,422 Apr 13, 2016 #4,551 Doohπ³π³π³ Najihisi mgeni humu
HULILO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 281 Reaction score 391 Apr 13, 2016 #4,552 Jimena said: Heshima na kwako pia, sasa hakikisha unapiga mzigo ili kesho tukiamka replies zisome 4k Click to expand... mkuu usijali japo nimepitwa na mengi sana ila ntajitahidi
Jimena said: Heshima na kwako pia, sasa hakikisha unapiga mzigo ili kesho tukiamka replies zisome 4k Click to expand... mkuu usijali japo nimepitwa na mengi sana ila ntajitahidi
HULILO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 281 Reaction score 391 Apr 13, 2016 #4,553 Jimena said: Mkuu umepitwa na mengi, mpaka mwenzio nataka kununuliwa Actros we hujui, duuh kweli majukumu yanakaba Click to expand... Mkuu asee mambo ni mengi kweli natamani uhondo huu usinipite ila ndo hivyo
Jimena said: Mkuu umepitwa na mengi, mpaka mwenzio nataka kununuliwa Actros we hujui, duuh kweli majukumu yanakaba Click to expand... Mkuu asee mambo ni mengi kweli natamani uhondo huu usinipite ila ndo hivyo
HULILO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 281 Reaction score 391 Apr 13, 2016 #4,554 sizzya007 said: Doohπ³π³π³ Najihisi mgeni humu Click to expand... π±π± mkuu hii ni noma mi mgeni kabisaaaaaaa mana niliondoka wako page ya 150 sasa ona loh! Makapuku noma asee
sizzya007 said: Doohπ³π³π³ Najihisi mgeni humu Click to expand... π±π± mkuu hii ni noma mi mgeni kabisaaaaaaa mana niliondoka wako page ya 150 sasa ona loh! Makapuku noma asee
Aziz Ki Mayele JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 899 Reaction score 1,955 Apr 13, 2016 #4,555 Na mi nipo pia, sijui ndo naamka hata sina uhakika
HULILO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 281 Reaction score 391 Apr 13, 2016 #4,556 Makapuku ambao sintawafikia post zenu mnisamehe maana post zenu ni nyingi sana ila nawaahidi sintawaangusha kabisaa kila ntakapo pata gap ntakuwa nawatunuku stahiki yenu πππ
Makapuku ambao sintawafikia post zenu mnisamehe maana post zenu ni nyingi sana ila nawaahidi sintawaangusha kabisaa kila ntakapo pata gap ntakuwa nawatunuku stahiki yenu πππ
HULILO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 281 Reaction score 391 Apr 13, 2016 #4,557 punje haradari said: Na mi nipo pia, sijui ndo naamka hata sina uhakika Click to expand... tujumuike pamoja mkuu πππ
punje haradari said: Na mi nipo pia, sijui ndo naamka hata sina uhakika Click to expand... tujumuike pamoja mkuu πππ
Aziz Ki Mayele JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 899 Reaction score 1,955 Apr 13, 2016 #4,558 Hehe mimi hua wa mwisho kuangalia post yako,,, sass technically sijui nani hua wa mwisho hapo (nimechomekea)
Hehe mimi hua wa mwisho kuangalia post yako,,, sass technically sijui nani hua wa mwisho hapo (nimechomekea)
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Apr 13, 2016 #4,559 HULILO said: Mkuu asee mambo ni mengi kweli natamani uhondo huu usinipite ila ndo hivyo Click to expand... Piga kazi tu
HULILO said: Mkuu asee mambo ni mengi kweli natamani uhondo huu usinipite ila ndo hivyo Click to expand... Piga kazi tu
Aziz Ki Mayele JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 899 Reaction score 1,955 Apr 13, 2016 #4,560 yah Ngoja tuendelee kuzihesabu hesabu hizi dakika