Makapuku Forum

Makapuku Forum

Cjui namna ya kueka
Ukishaclick reply angalia kwenye hizo alama utaona moja iko kama [emoji117] [emoji420] ukiclick itakupeleka moja kwa moja kwenye Gallery yako na utachagua picha uitakayo kisha utasend
Pia utaona alama ya [emoji117] [emoji2] nayo ukiclick itakupeleka moja kwa moja kwenye emoji
Jaribu ukishindwa niambie
 
Mie tena...
1464538861602.jpg

Kocha mpya wa Simba akiwasili mjengoni[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ukishaclick reply angalia kwenye hizo alama utaona moja iko kama [emoji117] [emoji420] ukiclick itakupeleka moja moja kwenye Gallery yako na utachagua picha uitakayo kisha utasend
Pia utaona alama ya [emoji117] [emoji2] nayo ukiclick itakupeleka moja kwa moja kwenye emoji
Jaribu ukishindwa niambie
Uko gud ticha
 
Ukishaclick reply angalia kwenye hizo alama utaona moja iko kama [emoji117] [emoji420] ukiclick itakupeleka moja kwa moja kwenye Gallery yako na utachagua picha uitakayo kisha utasend
Pia utaona alama ya [emoji117] [emoji2] nayo ukiclick itakupeleka moja kwa moja kwenye emoji
Jaribu ukishindwa niambie
Asante prof

Sasa kuna ttzo technicaly kdogo, naku PM
Ili unielekz nn shda
 
Back
Top Bottom