Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nawapenda wote jamani japo maisha ni mafupi lakini duh. ndo hivyo sina la kufanya zaidi ya kuwatakieni heri na baraka tele. AMEN.

CC:makapuku wote kina @cobblepost sumbai youngblood Bitoz jambilo Mussolin5 PNC 1 manuu lizziebettie Jimena amaizing Szczesny EMMYGUY Valentina Th Name na wengineo wengi....japo kuna wengine wana roho mbaya.
Mkuu asante sana, Mungu alituumba na roho safi, ikiona roho mbaya kwa mtu ni shetani kachafia tu lakini kina fursa ya kubadilika mkuu
 
Hahaha
Kanchesha sana pale mwishoni
Mi namjua kila Kapuku .....
Najua hadi ambao hawatoi likes kabisa ninachofanyaga ni KUWAKAUSHIA TU (Swapagi likes)
Kauzu zaidi ya dagaa
Yanga zaidi ya Simba
Bahili zaidi ya mchoyo
Tozy zaidi ya Bishoo
Kiburi zaidi ya jeuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........

........
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jwtz zaid ya polisi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jwtz zaid ya polisi
84d59344ad6eb7891efa599238818859.jpg
Kiherehere zaidi ya kidomodomo
.........
 
Mi namjua kila Kapuku .....
Najua hadi ambao hawatoi likes kabisa ninachofanyaga ni KUWAKAUSHIA TU (Swapagi likes)
Kauzu zaidi ya dagaa
Yanga zaidi ya Simba
Bahili zaidi ya mchoyo
Tozy zaidi ya Bishoo
Kiburi zaidi ya jeuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........

........
Mpende adui yako
 
Nashukuru
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sentesi ya mwisho hyo ume niacha hoi
Ni kawaida tu kiongozi
Km wewe HUNA ROHO MBAYA gonga kwanza LIKES page nzima
Tuanzie hapo
[emoji102] [emoji102] [emoji102]
........
Hiyo ni visual impression tu kiongozi....it doesn't have any thing to do with ROHO MBAYA
Nitafanya hivyo wakati ukiwadia.
Mie na manuu tunakupenda sanaaaa
Nami nawapenda zaidi...
[emoji120] amen
Pamoja sana
Mkuu asante sana, Mungu alituumba na roho safi, ikiona roho mbaya kwa mtu ni shetani kachafia tu lakini kina fursa ya kubadilika mkuu
Kabisa kabisa cc: Bitoz nakuahidi kuanza ku-like post zote kwa speed ya GAMMA shaaaaa...ila mimi sina roho mbaya ni mazingira tu ndo yananiponza...

Usiku mwema wote.
 
Back
Top Bottom