Me zaidi maka akeNimekumiss mnoo shunie akee
Nitarudi Poker zawadi nasubiri nye ndio mnipeUsilisusie jukwaa siumeona hata makaveli10 alivokumiss Shunie tafadhali rudi jukwaani ili tuwe updated.
Ila naomba zawadi ya mwaka mpya
He heNa nimemmisi kweli kweli
Vipi shunie akee, unacheka ama unashangaa?He he
Nashukuru tumeuona mwaka.Me zaidi maka ake
Nimeipenda sana hiyo avatar, hapo ulikuwa kwenye tukio gani Shunie
Nimecheka jamaniVipi shunie akee, unacheka ama unashangaa?
Mungu ni mwema maka akeNashukuru tumeuona mwaka.
Inabidi sasa weekend moja ukuje kigamboni shunie akee..Mungu ni mwema maka ake
Mbona hatualikani!?Vincenzo Jr ananiambia niitoe nirudishe ya mwanzo wewe unaniambia umeipenda Hapo Poker ilikuwa siku ya birthday yangu nilikuwa na marafiki zangu
Hi nimeipenda sana naamini hata Atoto akiiona atakubaliana nami au unasemaje makaveli10Vincenzo Jr ananiambia niitoe nirudishe ya mwanzo wewe unaniambia umeipenda Hapo Poker ilikuwa siku ya birthday yangu nilikuwa na marafiki zangu
Naendelea poa Poker! Huonekani kabisa mkuu!Nawasalimu wana jukwaa wote Shunie sio kwa kutususa huku
Atoto salamu haiui Tresor Mandala kheri ya mwaka mpya chifu
moudgulf upo ustadh wangu
Obe msalimie makaveli10
Makiwendo salamu zikufikie popote ulipo Lee salamu mkuu
Seran unaendeleaje
Mwaka wako umeuanzaje dearNaendelea poa Poker! Huonekani kabisa mkuu!
Inabidi sasa weekend moja ukuje kigamboni shunie akee..
Heineken za kutosha
Nimeuanza vizuri namshukuru Mungu, how about you 😻Mwaka wako umeuanzaje dear
Ilishapita maka akee Dec mwishoni hukoMbona hatualikani!?
Hi nimeipenda sana naamini hata Atoto akiiona atakubaliana nami au unasemaje makaveli10
Kuna dada alikuwaga anauza perfume unamkumbuka by any chance?Nimeuanza vizuri namshukuru Mungu, how about you 😻
Hapana simkumbuki😂 ni wa wapi?Kuna dada alikuwaga anauza perfume unamkumbuka by any chance?