We mwamini tu auntie ndio chaguo lako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie hilo swali ni uchochezi.
makaveli10 alipotea nyumbani tangu Jumatano. Leo ndio namuona eti alikuwa Nzega kikazi[emoji2297][emoji2297]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana una stress za mapenzi auntie yanguNitaanza na fursana[emoji1787][emoji1787]
Hapana, sifundishi wazee🤣Mmh ,vzr sana,nitakuja kusoma na mm
Muuza majeneza kamuoa nesi wa kijiji......mdau, naona wiki ishakuwa ngumu sana kwako, ni kama mwizi kapaliwa wakati anadokoa nyama