Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Binamu jamaniiii Atoto auntie njoo umueleweshe binamu jamaniiiii
....binamu, huyu Atoto alishirikiana na Tresor Mandala wakasema mimi ni mstaafu hivyo Makii asinikaribie sana, hawakujali hata kwamba nina miti ya mikorosho na huwa navuna kila msimu.
Unataka nikuletee korosho binamu? Kama zawadi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamepishana na gari ya mshahara binamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…