Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Sep 10, 2025 #429,181 min -me said: Hapo sawa na nikishiba nashushia na bohora la mbege🤣 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣 leo nahakikisha hugusi kilevi.
min -me said: Hapo sawa na nikishiba nashushia na bohora la mbege🤣 Click to expand... 🤣🤣🤣🤣 leo nahakikisha hugusi kilevi.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,720 Reaction score 131,882 Sep 10, 2025 #429,182 Atoto said: 🤣🤣🤣🤣 leo nahakikisha hugusi kilevi. Click to expand... Hata hivyo , now nimepumzika nataka nimalize mwaka kabisa bila kunywa pombe kali zaidi ya wine tu
Atoto said: 🤣🤣🤣🤣 leo nahakikisha hugusi kilevi. Click to expand... Hata hivyo , now nimepumzika nataka nimalize mwaka kabisa bila kunywa pombe kali zaidi ya wine tu
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Sep 10, 2025 #429,183 Atoto said: Huh! Kwahiyo umekubali tufanye mapinduzi? Click to expand... Mapinduzi yasiyo ya kijeshi
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Sep 10, 2025 #429,184 min -me said: Hata hivyo , now nimepumzika nataka nimalize mwaka kabisa bila kunywa pombe kali zaidi ya wine tu Click to expand... Mmmmh! Ngoja tuone🤣
min -me said: Hata hivyo , now nimepumzika nataka nimalize mwaka kabisa bila kunywa pombe kali zaidi ya wine tu Click to expand... Mmmmh! Ngoja tuone🤣
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Sep 10, 2025 #429,185 Tresor Mandala said: Mapinduzi yasiyo ya kijeshi Click to expand... 🤣🤣🤣🤣 usitupangie! Tunakuja na silaha zote
Tresor Mandala said: Mapinduzi yasiyo ya kijeshi Click to expand... 🤣🤣🤣🤣 usitupangie! Tunakuja na silaha zote
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Sep 10, 2025 #429,186 Atoto said: 🤣🤣🤣🤣 usitupangie! Tunakuja na silaha zote Click to expand... Hahahaha 🤣,doh
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Sep 10, 2025 #429,187 Tresor Mandala said: Hahahaha 🤣,doh Click to expand... Ngoja kwanza nimsikilize boss Obe
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Sep 10, 2025 #429,188 Atoto said: Ngoja kwanza nimsikilize boss Obe Click to expand... Sawa haina tatizo, ukimaliza utanikuta hapa
Atoto said: Ngoja kwanza nimsikilize boss Obe Click to expand... Sawa haina tatizo, ukimaliza utanikuta hapa
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Sep 10, 2025 #429,189 Tresor Mandala said: Sawa haina tatizo, ukimaliza utanikuta hapa Click to expand... Aaah mwizi jeuri wewe🤣
Tresor Mandala said: Sawa haina tatizo, ukimaliza utanikuta hapa Click to expand... Aaah mwizi jeuri wewe🤣
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Sep 10, 2025 #429,190 Atoto said: Aaah mwizi jeuri wewe🤣 Click to expand... Hahahaha,mwizi anajiamini
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Sep 10, 2025 #429,191 Tresor Mandala said: Hahahaha,mwizi anajiamini Click to expand... Aaah basi tena! Obe Kwisha habari yako.
Tresor Mandala said: Hahahaha,mwizi anajiamini Click to expand... Aaah basi tena! Obe Kwisha habari yako.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Sep 10, 2025 #429,192 Atoto said: Aaah basi tena! Obe Kwisha habari yako. Click to expand... Hahahaha 🤣,ajipange
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Sep 10, 2025 #429,193 Tresor Mandala said: Hahahaha 🤣,ajipange Click to expand... We tukifanya mapinduzi na miguu tunakuvunja walah🤣🤣
Tresor Mandala said: Hahahaha 🤣,ajipange Click to expand... We tukifanya mapinduzi na miguu tunakuvunja walah🤣🤣
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Sep 10, 2025 #429,194 Atoto said: We tukifanya mapinduzi na miguu tunakuvunja walah🤣🤣 Click to expand... Mie Niko fit sana,mjeda kasoro magwanda
Atoto said: We tukifanya mapinduzi na miguu tunakuvunja walah🤣🤣 Click to expand... Mie Niko fit sana,mjeda kasoro magwanda
Poker JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 6,534 Reaction score 19,078 Sep 10, 2025 #429,195 Atoto said: Yupo na mubaba. Click to expand... Hapo ndipo umuhimu wa Espy toto unapoonekana.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 Sep 10, 2025 #429,196 Poker said: ndio uniqoute mara tatu Shunie umeamkaje lakini Click to expand... Kumbe zimekuja tatu me sijui bwanah hii jf ya kutumia vpn siiwezi mimi
Poker said: ndio uniqoute mara tatu Shunie umeamkaje lakini Click to expand... Kumbe zimekuja tatu me sijui bwanah hii jf ya kutumia vpn siiwezi mimi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 Sep 10, 2025 #429,197 Atoto said: Yupo na mubaba. Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 Sep 10, 2025 #429,198 Atoto said: auntie useme vizuri. Click to expand... Auntie we unanijua me na kigoma wapi na wapiii
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,047 Sep 10, 2025 #429,199 min -me said: Shindii nataka nihamie makapuku forum Click to expand... He he karibu sana min
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,720 Reaction score 131,882 Sep 10, 2025 #429,200 Shunie said: He he karibu sana min Click to expand... Asante sana mnipokee mwenyekiti