Ijumaa la mwisho hili la Ramadan, mwaka unakimbia sana na kabla hatujakaa sawa Pasaka hii hapa na unashangaashangaa kidogo watoto waliomaliza fomu 4 mwaka jana wanaanza form five mwezi wa 7.
Nimekumbuka tu kusema kitu maana kila siku niko hapa sehemu bora kabisa kuwepo kwa sababu wewe upo.
Maandalizi mema ya sherehe za Eid al Fitr na kisha tuuanze mwezi wa 10, Shawwal. Mwezi wa kurekebisha majungu tuliyovunja.
Nakusalimia mdau