Ukraine imekataa pendekezo la Papa Francis la kufanya mazungumzo na Urusi ili kumaliza mapigano yaliyodumu kwa zaidi ya miaka miwili ikisema Kyiv haitajisalimisha kamwe.
Papa Francis amesema kutokana na hali kuzidi kuwa mbaya kwa pande zote βmtu anapaswa kuonyesha ujasiri wa kusalimu amri kwa kuinua bendera nyeupe na kujadiliana.β
View attachment 2931179