Ha ahahahhahah, vijana hawajui kabisa hizi mambo, juzi nimesikia wimbo unasema nataka kulewa napanda juu ya meza, lol! Anapanda afu inakuwaje!?
Enzi zangu kabla sijapata hiki kitambi elekezi unapanda juu unapiga kelele afu unachana Tshirt ya fubu
......nidai korosho au mbaazi ambazo nitampatia makaveli10 akuletee, huyu namwamini ni mwaminifu sana achana na Lee zawadi za aunt yangu zilikuwa zinapigwa hafu kwa cheusi mangara hafu kwa aunt