Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kwenda kumlipia mtu ada pale.
Sasa kulikuwa na foleni kubwa balaa, maza moja akajichomeka watu kama 10 hivi wakaanguka.
Yani nafasi hakuna, nlikaa kama lisaa moja kwenye mstari.