....mtaasisi naona umeniamulia kabisa, japokuwa matendo ni yangu lakini umri wa kwenye picha ni tofauti kabisa. Ndugu yako bado nna kadi ya umoja wa vijana wenye mambo ya kizee. ha hahahahaha, liked.... a bounced check.
Mjini ni vizuri ukawa na kitabu cha ceck, huwezi jua lolote lnaweza kutokea kama hivi