Nakuelewa vyema Swahiba..Hahaha,kwanza siezi fanya hivi hata iweje,usihofu
Sawa sawaMie humu JF wananijua wale wakongwe wa enzi za JF get together part
Sina ujinga huo aseeNakuelewa vyema Swahiba..
Najua kabisa wewe siyo wa kufanya vitu hivyo
Humu mchezaji yumo kweliHii hapa safari ya SKUDU hadi kutua Jangwani
.
2016 — Orlando Pirates
2017 — Chippa United (mkopo)
2018 — Orlando Pirates (Thank You)
2019 — Free Agent
2020 — U. Pretoria
2021 — Marumo G
2023 — YANGA
View attachment 2692976
Naomba offer ya Jersey SwahibaHumu mchezaji yumo kweli
Jedi ya timu gani sasaNaomba offer ya Jersey Swahiba
Mnyama Swahiba..Jedi ya timu gani sasa
Ok, kwani zishatoka mpya ?Mnyama Swahiba..
Zinatoka Ijumaa Swahiba..Ok, kwani zishatoka mpya ?
Sawa tuwasiliane swahibaZinatoka Ijumaa Swahiba..
Hope Jumamosi mapema nitaipata..
Ahsante Swahiba...Sawa tuwasiliane swahiba
Hahahha mnatuuliza sisi tena jamaniHumu mchezaji yumo kweli
Na wewe ubarikiwe,swahibaAhsante Swahiba...
Ubarikiwe..
Hahahaha,mie timu yangu ni Tp MazembeHahahha mnatuuliza sisi tena jamani