Makapuku Forum

Yaani cantu wazuri kwa mafuta tu na shampoo ila styling gel na cul activator hakuna kitu eco nzuri sana kwa styling

Me uko nimeshatoka kipenzi nipo apa nikichoka nitarudi kwenye natural View attachment 2545698
Yaan
Hako ka hela si ningegonga wine 2 tu yaishe πŸ˜‚πŸ˜‚ sema inanukia vizuri. Naisikia, ila haijamfikia eco gel hata kidogo.

Hiyo nywele umeifanyaje? Imekaa vizuri 😘😘
 
bora ningekuuliza kabla ya 🀣

Curl nayoijua ni ile wanaweka kwa nywele og isiyo na tone la dawa.
Hiyo yako ya mchongo ee 🀣🀣

Umpendeza
Kadress kakali πŸ”₯
Mambo ya night outs πŸ₯°πŸ˜
 
bora ningekuuliza kabla ya


Curl nayoijua ni ile wanaweka kwa nywele og isiyo na tone la dawa.
Hiyo yako ya mchongo ee


Umpendeza
Kadress kakali

Mambo ya night outs
Hapana sio ya mchongo kipenzi curl hiyohiyo niliweka nywele zikiwa natural mambo ya dawa nilishaacha mda mrefu mpaka nimesahau ndio nimerudi kuweka curl na na nywele zikirefuka napunguza yaani sipendi nywele ndefu kabisa yaani sijui ndio uzeee
ila nikizichoka narudi kwenye natural zangu hii kichwa yangu naijua sikawii kuchoka kitu haraka

Asante dear


Nywele zangu natural zilikuwa hivi nikaenda saloon kukata zote na kuanza upya mpaka nimekuja kuweka curl
 
Attachment haifunguki.

Hiyo curl naiogopa balaa, nilishaonaga ilichomfanya mtu. Kama nywele ni nachuro hapo itakukubali..

Uweke na extension sijui nini wataalam wanaita. Ile wanatumia tu mafuta kuzisokota nywele
 
Na una nywele imejaa.. kwanini husuki?
Yale yule ile curl ilimkata nywele vibaya mno.. nywele unaigusa ni inanyonyoka tu.
Toka hapo, mtu haniambii kitu na curl nikaelewa
Yaani kusuka ndio kitu sitaki kabisa kusikia yaani sipendi kusuka bora nivae wig tuuu kuliko kusuka yaani ghafla tu

Nilivyofanya maamuzi ya kunyoa hizi nywele hakuna aliyeamini walijua ni uongo siku wananiona na kipara kila mtu ananisema mpaka leo wameshazoea kuna kipindi niliweka blond kichwa kizima kabla sijaweka curl nipo na rafu dread nikaenda kunyoa zote nikaanza upya kukua kidogo nikaenda kuweka curl nikichoka curl narudi kwenye rafu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…