[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasemaga ukitumia sana elfu 20 haifiki sasa sisi vibibi gagula watatuweza wapiii kazi inaanza tunakunywa heinekenn bado mengineyo lazima watuchukie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si ni ndiyo Auntie...Wanasema eti havina matumizi makubwa[emoji3]
Auntie Nimekumiss hapa jamani...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasemaga ukitumia sana elfu 20 haifiki sasa sisi vibibi gagula watatuweza wapiii kazi inaanza tunakunywa heinekenn bado mengineyo lazima watuchukie
Auntie nimekuwa mvivu makapuku sijui ndio uzee kuna mda naingia natoka kutype nashindwa yaani nimekuwa mvivu kutype hakuna kitu naomba kama jf waweke opt ya vn yaani
shangazi Shunie unakunywaga heinken ngapi .ukiamua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasemaga ukitumia sana elfu 20 haifiki sasa sisi vibibi gagula watatuweza wapiii kazi inaanza tunakunywa heinekenn bado mengineyo lazima watuchukie
Auntie nimekuwa mvivu makapuku sijui ndio uzee kuna mda naingia natoka kutype nashindwa yaani nimekuwa mvivu kutype hakuna kitu naomba kama jf waweke opt ya vn yaani
swahiba na ww unapiga heinken ngapi ndo unakua vzr au wewe hupigi hz unakula savanah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie nimecheka hadi koo limeuma...kwamba picha linaanzia kwenye Heineken...na local beer tutaumwa matumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waaah!!!
Ujue Aunti hao havina bills za kulipa... life yao haina matumizi makubwa..
Nakuelewa vyema Auntie...Kuna wakati hata kutype ni shida.. sasa wakiweka VN mimi na hiki kigugumizi itakuwaje lakini?[emoji3]maana wewe nakujua ndiyo mambo yako.. itabidi niingie tu kwenye VN...
Mtu asiyekuzoea anaweza jua huyu kaniona mimi ndio anajishaua kunywa heinekenn kumbe ndio kinywaji chetu hata nikiwa peke yangu ndio ninachokunywa acha waendelee tu kukimbizana na watoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie nimecheka hadi koo limeuma...kwamba picha linaanzia kwenye Heineken...na local beer tutaumwa matumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waaah!!!
Ujue Aunti hao havina bills za kulipa... life yao haina matumizi makubwa..
Nakuelewa vyema Auntie...Kuna wakati hata kutype ni shida.. sasa wakiweka VN mimi na hiki kigugumizi itakuwaje lakini?[emoji3]maana wewe nakujua ndiyo mambo yako.. itabidi niingie tu kwenye VN...
hahahahaWe mzee acha maswali bwana wanaume hawaulizi haya maswali ujue relax mtu aagize ulipe
Hakuna hata moja ninayotumia hapo hapo Swahiba... Hayo ni mambo ya Shunie[emoji1787]swahiba na ww unapiga heinken ngapi ndo unakua vzr au wewe hupigi hz unakula savanah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mtu asiyekuzoea anaweza jua huyu kaniona mimi ndio anajishaua kunywa heinekenn kumbe ndio kinywaji chetu hata nikiwa peke yangu ndio ninachokunywa acha waendelee tu kukimbizana na watoto
Ila auntieee si vodka hiyoHakuna hata moja ninayotumia hapo hapo Swahiba... Hayo ni mambo ya Shunie[emoji1787]
Kwa sasa natumia Tanqueray Swahiba[emoji1787][emoji1787]
Ndiyo Auntie[emoji1787][emoji1787]Ila auntieee si vodka hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana aiseee me kichwa yangu hii nitavua nguo nikishafikisha chupa ya 5 akili yangu inabadilika nakuwa shunie wa Europe najiamiani sina chochote naogopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo Auntie[emoji1787][emoji1787]
Sasa nifanyeje jamani...Life imenifikisha hapo Auntie...
Nachanganya na Sprite... burudani...
Uje nikufundishe[emoji28][emoji28][emoji28]
Umenifanya nikumbuke kitu Auntie[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana aiseee me kichwa yangu hii nitavua nguo nikishafikisha chupa ya 5 akili yangu inabadilika nakuwa shunie wa Europe najiamiani sina chochote naogopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787] auntie hapana baki nayo tu mwenyewe halafu si huwa mnamiminiwa kiduchu kwenye glass mnawekewa na vipande vya lemonUmenifanya nikumbuke kitu Auntie[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo kichwa tutaicontrol... na Imagine hiyo kitu hata siyo kali kama vingine...
Siku nikuonesha ka kituuuuu[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] auntie hapana baki nayo tu mwenyewe halafu si huwa mnamiminiwa kiduchu kwenye glass mnawekewa na vipande vya lemon
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa tule tuduchu jamaniii mnawezaje auntie si mpige fundo moja hapana jamani vingine hivyo acha niwe mtazamaji tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeeeeh!!!!...ila hiyo nimeonjeshwa siku za karibuni Auntie...Nikaipenda....
Sasa nikiamia huko WH nitamuachia nani Auntie..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa tule tuduchu jamaniii mnawezaje auntie si mpige fundo moja hapana jamani vingine hivyo acha niwe mtazamaji tu
Lakini auntie si unalewa haraka jamani kali sana ile na taste yake sio chungu kama whisky woiiiii mapombe makali yamenishinda mimi yaani siyawezi hata mdomoni harufu naweza tapika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaweza kuongeza Auntie....
Mimi hiyo nilikunywa kwa mtu alikuwa na ile chupa.. Nikachanganya na Sprite..sikutumia lemon..