Makapuku Forum

Nawashangaa hawa kuniita mjomba, wajomba wapo migombani huko wana koti moja, shati moja na suruali yake. Baridi ya milimani huwezi jua rangi ya koti manake linavaliwa 24/7.[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umesahau na kofia za mzee ojwang na fimbo wajomba bwana kiko mdomoni
 
Sijui huku hata nafanyaje, ni huyu mtoto ndio kanileta? Ngoja nisepe kwanza..mimi sio kapuku[emoji1787][emoji1787] Shunie kesho ulete magazeti au nikurudishe huko juu mtae kwenye baridi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe unasomaga kimyakimya magazeti nilikuwa sina mpango wa kuweka nimekuwekea kwa heshima yako yasome sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…