Nawashangaa hawa kuniita mjomba, wajomba wapo migombani huko wana koti moja, shati moja na suruali yake. Baridi ya milimani huwezi jua rangi ya koti manake linavaliwa 24/7.