Makapuku Forum

Aka ka'mtu kuna siku nikaonana naye Live live Buana!!!!
Wueeeeeeh!!!!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu kidogo basi halafu wala hufananiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikichukiaga ile kuchukia ndiyo huwa zinaonekana[emoji28]

Ila siku hizi ni vile najua kuji'control Auntie..
 
Kuna kazi yake nilikuwa namfanyia....

Na nilivyo na akili zangu sasa[emoji28]Wakati namuandalia Documents zake...Nikamuuliza Jina...wakati nalijua/Na ninamjua[emoji28]

But anakaa poa.[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] but anakaa poa ila kana mwili mduchuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…