Si hiyo shilingi nimeandika!!Sasa me sijaelewa ndio sh ngapi
Hiyo elfu 7 na ngapi sijuiSi hiyo shilingi nimeandika!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila kuna malaki si etii auntie yangu we utanitumia tu pic sawa auntie yangu
Ndio hiyo sasa.Hiyo elfu 7 na ngapi sijui
Aloooh [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikiona malaki nahesabu napata tofali ngapi yaani kwahiyo ni makumi mangapi auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Auntie...
Hapana... huko kuna Makumi[emoji28]
Mmh mbona kama siamini na hawa ma star wanalipa hihii elfu 7Ndio hiyo sasa.
Makumi matatu Auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aloooh [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikiona malaki nahesabu napata tofali ngapi yaani kwahiyo ni makumi mangapi auntie
Unalala kabisa au ni kwenda na kurudi sasa kubusu twiga ndio elfu 7 au huyu auntie ananijaza. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Makumi matatu Auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie!!!! Kwenye Makobe huko mambo ni mengi....Unalala kabisa au ni kwenda na kurudi sasa kubusu twiga ndio elfu 7 au huyu auntie ananijaza. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787] huyu mwanaume hawezi niruhusu hata ratiba yangu ya likizo natakiwa kwenda mwanza na zanzibar tuAuntie!!!! Kwenye Makobe huko mambo ni mengi....
Sasa kwenye Twiga Espy ndiyo anafanyia kazi.. kama amesema ni elfu saba basi inawezekana[emoji1787][emoji1787]
Tutafute nauli..
Mwambie Makobe ni Zanzibar huko huko Auntie[emoji28][emoji1787][emoji1787] huyu mwanaume hawezi niruhusu hata ratiba yangu ya likizo natakiwa kwenda mwanza na zanzibar tu
Hapo sawa auntie ila ni Dec sasaMwambie Makobe ni Zanzibar huko huko Auntie[emoji28]
Itakavyokuwa Auntie..Hapo sawa auntie ila ni Dec sasa
Kwelii kabisaaMuda wa mazoezi amkeni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mmh mbona kama siamini na hawa ma star wanalipa hihii elfu 7
Umeshaniharibu wewe mtoto wa Tanga. Kila nikiona haya makitu nakukumbuka. Siku moja itabidi tu uniruhusu nikununulie maana hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hapo sawa auntie ila ni Dec sasa
Ila auntie kiukweli sikuamini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani unayatumia we ninunulie tu tena box msukuma [emoji847]Umeshaniharibu wewe mtoto wa Tanga. Kila nikiona haya makitu nakukumbuka. Siku moja itabidi tu uniruhusu nikununulie maana hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2308984